![]() | ||
Watahalamu wa kupambana na ugonjwa hatari wa ebola |
WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepokea vifaa mbalimbali vya kuchunguza wagonjwa watakaobainika kuambukizwa na ugonjwa hatari wa ebola huku ikiweka mikakati zaidi kudhibiti bandari bubu zinazotumiwa kuingiza wageni kinyume cha sheria.
Akikabidhi vifaa hivyo katika kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Abeid Amaan Karume,
![]() | ||||||
Uwanja ndege wa Abeid Amaan Karume Zanzibar |
![]() |
Dr. Salma Masauni Akizungumza na wahandishi wa habari |
Alisema juhudi hizo zimechukuliwa kwa ajili ya kupambana na ugonjwa huo ambapo vitawekwa katika sehemu zote kuu za kupokea wageni ikiwamo Uwanja wa Ndege pamoja na Bandari Kuu.
Alibainisha kuwa kabla ya vifaa hivyo vya kubaini kiasi cha ugonjwa kwa aliyeathirika na ebola ambao ni tishio kwa baadhi ya nchi zikiwamo za Afrika ya Magharibi, Zanzibar ilikuwa haina vifaa vya kupambana na ugonjwa huo.
No comments:
Post a Comment