Mtuhumiwa wa Mauaji ya Ayub Mlai Kwa Bastola Ambrosia Club Aonja Joto la Jiwe Leo Mahakani Kisutu
Mtuhumiwa wa kesi ya Mauaji, Conrad Leo
(33) akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuachiwa na kukamatwa
tena katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana.Mtuhumiwa huyo
anashitakiwa kwa kosa la kumuua kwa kutumia silaha Ayubu Mlai.
No comments:
Post a Comment