Thursday, August 7, 2014

Mpasuko Ukawa

Mh.Leticia Nyerere na Steven Ngonyani wakitoka kusini 
Wabunge wa umoja wa kundi la UKAWA waliosusia bunge maalum wameanza kulejea bungeni baada ya mbuge wa viti maalum Mh.Leticia Nyerere kuonekana bungeni Dodoma akisaini fomu ya mahudhulio. na mbunge  mwingine aliye onekana katika maeneo hayo ni Mh.Shibuda

No comments:

Post a Comment