![]() |
Msitu wa mbambi wilayani mbinga |
Kumeibuka mgogoro mkubwa unaotishia amani wilayani Mbinga mkoani Ruvuma kati ya wananchi na uongozi wa halmashari ya wilaya ya Mbinga baada ya wananchi kuzuia mbao zilizokuwa zikivunwa na halmshauri hiyo kwenye msitu wa mbambi wakidai uongozi wa vijiji vinavyotunza msitu huo hauna taarifa na uvunaji huo.
![]() |
Mbao zilizo ziwiwa na wananchi wilayani mbinga |
No comments:
Post a Comment