![]() |
IGP Ernest Mangu |
Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kumalizaka kwa mkutano wa baraza la vyama vya siasa Jijini Der es salaam jana,Ofisi ya vyama vya siasa na jeshi la polisi uliokuwa ukijadiliwa namna ya kuondoa vikundi hivyo au kuboresha shughuli za vikundi hivyo ambavyo vinamilikiwa na vyama vya siasa ambavyo ni CCM (Green Guard), CHADEMA (Red Brigade), CUF (Blue Guard), na ACT-WAZALENDO (Amani)
IGP amesema wamejadiliana na vyama vyote vya siasa vinavyounda vikundi hivyo na Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchi iliyo chini ya Jaji Francis Mtungi itatoa muongozo ambao utatakiwa kufuatwa kwa utekelezaji ili waweze kufanya kazi zao kwa utaratibu unao takiwa bila kuathiri sheria ya nchi na katiba inayo ziwia kuundwa kwa vikundi vyovyote vya ulizi.
No comments:
Post a Comment