Sunday, September 21, 2014

Mbowe Abanwa na polisi

Wafuasi wa chadema wakiwa kwenye mandamano
Mpango wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA),Kutaka kuandamana Mikoa mitatu Ukiwemo ngome yao ya mkoa wa Arusha imeshindikana baada ya Polisi kuwanyima Vibali vya mandamano hayo Mikoa yote ya Morogoro na Iringa na polisi kutanda sehem muhimu ili kuwa dhibiti
Askari polisi wakiwa kazini mkoani Arusha jana

No comments:

Post a Comment