Monday, September 8, 2014

Sarafu ya sh.500 kuanza kutumika Oktoba

 Mkuu wa BOT Emmanuel Boez akionyesha sarafu ya Sh 500 

Banki Kuu ya Tanzania BOT imetangaza sarafu mpya ya Sh.500, ambayo itanza kutumika mapema mwezi Oktobe 2014, sambamba na noti ya sh.500 ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kuiondo taratibu katika mzunguko wa matumizi ya pesa hiyo, Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa bank hiyo Emmanuel Boaz alipokuwa anazungumza na wandishi wa habari Jiji Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment