![]() |
Mshambuliaji Wa Yanga Jaja |
Kweli Jaja mwisho Mikese’! Mtibwa Sugar wamethibitisha kuwa makali ya mshambuliaji wa Yanga, Genlison Santos ‘Jaja’ mwisho Msamvu baada ya jana kuibuka na ushindi mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
![]() |
Mchezaji Wa Coutinho |
Ndanda FC iliyopanda daraja msimu huu inashikilia usukani wa ligi baada ya kuichapa Stand United 4-1, huku mabingwa watetezi Azam wakiibamiza Polisi Morogoro mabao 3-1.
Wakati Yanga wakichezea kichapo Morogoro watani zao Simba leo watakuwa Uwanja wa Taifa kuikabili Coastal Union.
No comments:
Post a Comment