Picha
za video zimeonesha mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez akimng'ata beki
wa Italy Giorgio Chiellini. Mwamuzi hakuona kitendo hicho lakini huenda
hatua zitachukuliwa baadaye.
Beki wa Italy Giorgio Chiellini akionyesha alama za meno baada ya kung'atwa na Luis Suarez
No comments:
Post a Comment